.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 21 Aprili 2014

BARABARA KUU YA NAIROBI - NAKURU YATAJWA KUWA SI SALAMA KWA MAISHA YA ABIRIA

Barabara kuu ya Nairobi - Nakuru nchini Kenya imeripotiwa kuwa ni moja ya barabara inayotishia uhai wa abiria kutoka na ajali nyingi za mara kwa mara zinazotokea katika barabara hiyo. 

Uchunguzi huo umeonyesha kuwa, barabara hiyo inaongoza kwa ajali nyingi ambazo pia zimekuwa zikisababisha vifo na majeruhi wengi kila mara. 

Chanzo kikubwa za ajali hizo ni mwendo kasi na uzembe wa madereva. Jumamosi iliyopita ilitokea ajali nyingine katika barabara hiyo na kuua watu sita na kujeruhi wengine

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni