Mhe Birgit alimweleza Balozi Kamala uamuzi wa Tervuren Rotary Club kumtunuku nishani ya Paul Harris Bwana Ward Lernout kama ishara ya kutambua mchango wake wa kusaidia kituo cha watu wasiokia cha Msanda kilicho Mkoa wa Kilimanjaro Tanzania.
Balozi Kamala amewashukuru Tervuren Rotary Club kwa kusaidia kituo hicho na amewaomba waendelee kufanya hivyo.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni