.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 20 Agosti 2014

JAMES RODRIGUEZ AIFUNGIA REAL MADRID BAO LAKE LA KWANZA


Mchezaji mpya wa Real Madrid, James Rodriguez amefunga goli lake la kwanza akiwa na timu yake hiyo mpya katika mchezo ulioishia kwa sare ya mbao 1-1 dhidi ya Atletico Madrid baada ya Raul Garcia kusawazisha dakika za mwisho.

Katika mchezo huo wa Super Cup, aliyekuwa mchezaji wa Monaco Rodriguez ambaye alitwaa kiatu cha dhahabu katika michuano ya kombe la Dunia aliifungia Real Madrid bao katika dakaki ya 80.
  Uende wewe au mpira, lakini kimoja kibaki hapa hapa 
Ronaldo akisikilizia maumivu

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni