.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 22 Agosti 2014

MVUA KUBWA ZILIZONYESHA JANA ZAATHIRI ZOEZI LA UOKOAJI HIROSHIMA

Mvua kubwa zimeathiri operesheni ya uokoaji huko Hiroshima nchini Japan ambapo maporomoko makubwa ya ardhi yameuwa watu 39.

Idadi ya watu wasiojulikana walipo imeongezeka hadi kufikia 51, ambapo maafisa polisi wamethibitisha.

Karibu waokoaji 3,000 wapo katika eneo hilo lililopata janga lakini mvua iliyonyesha jana usiku ilisitisha utafutaji. Mvua hizo zimesababisha kuhamishwa watu 100,000.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni