.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 22 Agosti 2014

WAZIRI MKUU MH MIZENGO PINDA AWASILI JIJINI MWANZA


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Evarest Ndikilo (kulia) na Katibu wa CCM wa Mkoa wa Mwanza, Joyce Masunga baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza August 22, 2014 ambako August 23, 2014 anatarajiwa kuongoza harambee iliyoandaliwa na Mkapa Foundation. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni