.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 19 Septemba 2014

BABU MMOJA MAREKANI AMEMUUA MJUKUU WAKE PAMOJA NA WATOTO WAKE SITA KWA KUWAPIGA RISASI

Babu mmoja amemuua kwa kumpiga risasi mjukuu wake wa kike pamoja na watoto wake sita na baadae kujiua huko Bell Jijini Florida nchini Marekani.

Mkuu wa Kituo Cha Polisi cha Kaunti ya Gilchrist, Robert Schultz amesema watoto hao wenye ni umri kati ya miaka mitatu hadi 10.

Mamlaka za Marekani zimemtambulisha babu huyo kwa jina la Don Charles Spirit mwenye umri wa miaka 51.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni