.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 2 Septemba 2014

CRISTIANO RONALDO APONGEZA UHAMISHO WA MKOPO WA RADAMEL FALCAO KWENDA MAN U

Mchezaji nyota wa Real Madrid Cristiano Ronaldo amepongeza uhamisho wa mkopo wa mshambuliaji Radamel Falcao, kwenda Manchester United kwa kusema kuwa ni biashara nzuri kwa kocha Louis van Gaal.

Mshambuliaji huyo ataigharimu Manchester United paundi milioni 12, na anaungana na Angel di Maria, Daley Blind, Luke Shaw, Ander Herrera pamoja na Marcos Rojo na kufanya jumla ya gharama za manunuzi yao kufikia paundi milioni 150.
                             Radamel Falcao akikabidhiwa uzi wa Man U na Ryan Giggs

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni