.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 2 Septemba 2014

FLOYD MAYWEATHER NA MANNY PACQUIAO KUPIGANA MARA MBILI MWAKA 2015

                                                    Pacquiao kushoto akimdunda mtu 
 
Baada ya mashabiki wa ngumi kungojea kwa muongo mmoja pambano baina ya Floyd Mayweather na Manny Pacquiao sasa imeelezwa kuwa mabondia hao watazidunda mara mbili ndani ya mwaka mmoja.

Bob Arum wa PacMan’s promota, amesema anaimani kuwa mabondia hao wakubwa kwa sasa duniani watakutana katika mapambano hayo yatakayofanyika mnamo mwaka 2015.

Mabondia Floyd Mayweather na Man Pacquiao wamekuwa wakikwepa kupigana kwa kipindi cha miaka mitano.
                               Mayweather kushota akimpachika konde la shavu mtu

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni