.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 2 Septemba 2014

JESHI LA NIGERIA LAWASAMBARATISHA BOKO HARAM BAADA YA KUVAMIA KIJIJI

                                                    Kiongozi wa Boko Haram Abubakar Shekau

Jeshi la Nigeria limesema limesambaratisha shambulio lililopangwa na wapiganaji wa Boko Haram katika kijiji cha Bama kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

Waasi hao walivamia mji huo hapo jana asubuhi maafisa wa Nigeria wamesema.

Vyanzo vya usalama vimenukuliwa vikisema makumi ya wapiganaji wameuwawa, hata hivyo taarifa hizi hazijathibitishwa.

Kundi la Boko Haram hivi karibuni limetangaza kuanzisha Dola ya Kiislam katika miji na vijiji ambavyo wanavishikilia kaskazini mashariki mwa Nigeria.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni