.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 19 Septemba 2014

JOSE MOURINHO AONDOA UWEZEKANO WA YEYE KUWA NA CRISTIANO RONALDO CHELSEA

Kocha Jose Mourinho amesisitiza uhusiano wake na Cristiano Ronaldo haupo tangu aache kuinoa Real Madrid na kurejea Chelsea mnamo mwaka 2013.

Kocha huyo amesema kuwa yeye na Ronaldo kwa sasa hawawezi kukaa pamoja na kuongeza kuwa anamtakia kila la heri mchezaji huyo aliyemuita 'mashine ya magoli'.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni