.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 15 Septemba 2014

MH.PINDA ASHIRIKI KIKAO CHA PPP DIALOGUE, PIA AKUTANA NA UJUMBE WA KAMPUNI YA SHIMITOMO


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Bw. Lord Hollick ambaye ni Mjumbe wa Masuala ya Biashara wa Waziri Mkuu wa Uingereza nchini Tanzania katika majadiliano kuhusu ushirikiano baina ya serikali na Sekta Binafsi (PPP Dialogue) kwenye hoteli ya Hyatt Regency- Kilimanjaro jijini Dar es salaam Sept. 15, 2-14. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa wa Kampuni ya Japani ya SUMITOMO baada ya kuzungumza nao ofisini kwake jijini Dar es salaam Septemba 15, 2014.Kulia kwake ni Rais wa kampuni hiyo, Nakamura Kumharu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni