.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 16 Septemba 2014

MOURINHO ABAINISHA KUWA EDEN HAZARD ATAMWAGA WINO KATIKA MKATABA MPYA

Kocha Jose Mourinho amethibitisha kuwa mchezaji Eden Hazard anakaribia kutia saini mkataba mpya wa kuendelea kuichezea timu ya Chelsea.

Vyombo vya habari vya Uingereza vilibainisha kuwa mchezaji huyo raia wa Ubelgiji anatarajiwa kupatiwa mkataba wa malipo ya paundi 200,000 kwa wiki.
            Eden Hazard wa kwanza kushoto akifurahia mazoezi akiwa na wenzake

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni