.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 16 Septemba 2014

POLISI SITA WAUWAWA KATIKA TUKIO LA BOMU LA KUTEGWA NCHINI MISRI

Polisi sita wa Misri wameuwawa katika tukio la bomu lililotegwa barabarani katika eneo la Sinai.

Waziri wa Mambo ya Ndani wa Misri amesema maafisa wengine wawili pia wamejeruhiwa katika ajali hiyo.

Kundi hilo la polisi lilikuwa likisafiri katika msafara wa magari ya polisi kaskazini mwa Sinai.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni