.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 31 Oktoba 2014

GRACA MACHEL ASEMA UGANDA INAPASWA KUWA NA RAIS MWANAMKE BAADA YA MUSEVENI

Mke wa rais wa zamani wa Afrika Kusini, Bi. Graca Machel, amesema Uganda inapaswa kuwa na rais mwanamke, pindi Rais Yoweri Museveni atakapong'atuka.

Bi. Graca ambaye ni mwanaharakati wa kimataifa wa haki za wanawake na watoto amesema Uganda ni moja ya nchi za Afrika zenye wanawake wenye akili ambao wanauwezo wa kuwa rais.

Hata hivyo Bi. Graca alionyeshwa kusikitishwa baada ya kutaarifiwa kuwa Dk. Specioza Wandira Kazibwe hayupo tena katika nafasi ya makamu wa rais wa Uganda.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni