.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 1 Oktoba 2014

LIGI YA MABINGWA ULAYA, MANCHESTER CITY YABANWA NYUMBANI NA ROMA, MKONGWE TOTTI AONYESHA KIWANGO CHA JUU

Mchezaji Francesco Totti wa Roma mwenye umri wa miaka 38 ameifungia timu yake bao muhimu la kusawazisha katika dakika ya 23 ya mchezo baada ya kutangulia kufungwa bao na wenyeji wao Manchester City katika mchezo wa ligi ya mabingwa barani Ulaya uliochezwa usiku wa kuamkia leo katika uwanja wa Etihad nchini Ungrereza. 

Mchezo huo wa kundi E ulimalizka kwa timu hizo kufungana bao 1-1.
Mchezaji Sergio Aguero akiifungia Manchester City bao la kuongoza kwa mkwaju wa penati katika dakika ya nne ya mchezo dhidi ya Roma jana usiku.
Mashabiki wa Roma wakipagawa kwa furaha baada ya mkongwe Totti kuisawazishia Roma bao katika dakika ya 23 na kufanya matokeo kuwa 1-1 hadi mwisho wa mchezo. 

Matokeo mengine ya michezo ya ligi ya mabingwa barani Ulaya iliyochezwa usiku wa kuamkia leo ni kama ifuatavyo:-

CSKA Moscow 0 vs 1 Bayern Munich

Apoel Nicosia 1 vs 1 Ajax Amsterdam

PSG 3 vs 2 FC Barcelona

Schalke 1 vs 1 Nk Malbor

Sporting 0 vs 1 Chelsea

BATHE Bor 2 vs 1 Athletico Bilbao

Shakt 2 vs 2 FC Porto

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni