.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 24 Novemba 2014

DR SHEIN KATIKA ZIARA YA KUIMARISHA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA MFENESINI

IMG_2308 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai (kulia) Mwenyekiti wa Wilaya ya Mfenesini Kichama Mjumbe Msuri wakiwa katika ukumbi wa Tawi la Chuo cha Mwalimu Nyerere Bububu Kihinani Mkoa wa Magharibi Kichama nje ya Mji wa Unguja katika mkutano maalum wa kuimarisha Chama kwa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani,{Picha na Ikulu.}

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni