.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 23 Novemba 2014

MAHAKAMA YAAMURU KUSITISHWA MGOMO WA WAUGUZI NCHINI KENYA

Chama cha Taifa cha Wauguzi nchini Kenya kimesitisha mgomo wake uliopangwa kuanza kesho.

Hatua hiyo inafuatia amri iliyotolewa na mahakama ya kazi, kutaka mgomo huo usitishwe kufuatia kesi iliyofunguliwa na mwanaharakati Okiya Omtata, kuupinga.

Jaji Nzioko wa Makau ametoa mari ya kusitishwa mgomo huo hadi hapo kesi hiyo ya kupinga mgomo wa wauguzi Kenya, itakaposikilizwa Desemba 11.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni