.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 23 Novemba 2014

MANCHESTER UNITED YAITANDIKA ARSENAL 2-1 KATIKA LIGI KUU UINGEREZA

Pamoja na kuonyesha kandanda safi nala kuvutia, timu ya soka ya Arsenal jana ilishindwa kabisa kuutumia vyema uwanja wao wa nyumbani wa Emirates baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-1 toka mashetani wekundu, Manchester United katika mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza. 

Timu hizo hata hivyo zilijikuta zikienda mapumziko bila ya kufungana.
Kipindi cha pili kilianza kwa kasi na Manchester United kujipatia bao la kwanza katika dakika ya 56 baada ya beki wa wa Arsena Gibbs kujifunga akiwa katika harakati za kuondoa hatari langoni mwake. 

Bao la pili nala usnidi la Man United lilifungwa na Wayne Rooney katika dakika ya 85. Bao la kufutia machozi la Arsenal lilifungwa katika dakika za lala salama na Giroud. 

Matokeo ya mechi nyingine zilizochezwa jana:-

Everton 2 vs 1 West Ham

Leicester 0 vs 0 Sunderland

Newcastle 1 vs 0 QPR

Stoke 1 vs 2 Burnley 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni