.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 22 Desemba 2014

NAIBU RAIS KENYA AWAASA WAPINZANI KUTOITISHA MAANDAMANO KUPINGA SHERIA YA USALAMA

Ruto na Mkewe Rachel akikata keki jana kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwake katika viwanja vya kanisa.

Naibu rais wa Kenya William Ruto amewashauri viongozi wa upinzani kuachana na mpango wa kuitisha maandamano makubwa kupinga Sheria ya Usalama iliyofanyiwa mabadiliko 2014.

Bw. Ruto amesema maandamano hayawezi kutumika kama ndio njia pekee mbadala ya kutatatua matatizo yanayoikabili Kenya.

Akiongea kwenye ibada jana kwenye kanisa la AIC Ziwa katika kaunti ya Uasin-Gishu Bw. Ruto amewataka viongozi kutumia njia za Kidemokrasia kutoa maoni yao badala ya kutumia nguvu ya umma.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni