.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 26 Januari 2015

TAJI LA MISS UNIVERSE LAENDA COLOMBIA KWA MREMBO PAULINA VEGA

Washiriki wa shindano la kumsaka Miss Universe wakiwa jukwaani katika shindano lililofanyika jumapili January 25'2015, Miami nchini Marekani ambapo Miss Universe Colombia, Paulina Vega ( 22 ) alivikwa taji.
Paulina Vega akivikwa taji la Miss universe na mtangulizi wake huku akishuhudiwa na washiriki wenzake.
Washiriki waliofanikiwa kuingia tano bora katika shindano la kumsaka Miss Universe.

Kutoka kushoto kwenda kulia ni Miss Australia Tegan Martin, Miss Uholanzi Yasmin Verheijen, Miss Brazil Melissa Gurgel, Miss Ukraine Diana Harkush na Miss Jamaica, Kaci Fennell.




Hakuna maoni :

Chapisha Maoni