.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 25 Januari 2015

WAZIRI MKUU WA JAPAN ALAANI KUUWAWA KWA RAIA WAO NA KUNDI LA IS

Waziri Mkuu wa Japan ameshutumu video yenye kitendo kisicho kubalika na chenye kuchochea ghadhabu cha kuuwawa kwa raia wake Haruna Yukawa na kundi la dola ya Kiislam (IS).

Wazhiri Mkuu huyo Bw. Shinzo Abe ametaka kuachiwa kwa mateka mwingine Kenji Goto, aliyeonyeshwa kwenye video hiyo. Japan imesema inajaribu kuthibitisha picha za video hiyo.

Siku ya jumanne, kundi la (IS) lilisema litawauwa wajapan wawili hao inaowashikilia iwapo hawajalipwa dola milioni 200 na Japan ndani ya saa 72.
                                         Kenji Goto raia wa Japan anayeshikiliwa na kundi la IS 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni