.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 28 Februari 2015

WAZIRI WA HABARI, UTAMADUNI, UTALII NA MICHEZO ZANZIBAR, MH MBAROUK ATEMBELEA UWANJA WA GOMBANI

  MAAFISA mbali mbali kutoka Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo Pemba, wakiangalia mtaro wa kupitia maji ya Mvua unaojengwa katika uwanja wa Gombani.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
  AFISA mdhamini Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo Pemba, Mhe:Ali Nassor Mohammed akitoa maelekezo ya mtaro wa Kupitia maji ya Mvua, kwa waziri wa Wizara hiyo Mhe:Saidi Ali Mbarouk mwenye suti katikati, wakatio alipofanya ziara ya kushtukiza ya kukagua ujenzi wa Tartan ndani ya Uwanja wa Michezo Gombani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
  MSHAURI mwelekezi kutoka kampuni ya Samkay CO.LTD Suleiman Hamad Omar, akitoa ufafanuzi wa ujenzi wa tartan hiyo kwa viongozi wa Wizara ya Habari akiwemo waziri wa wizara hiyo Mhe;Said Ali Mbarouk, wakati alipofanya ziara ya kushtukiza kukagua ujenzi huo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

WAZIRI wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo wa Zanzibar Mhe:Saidi Ali Mbarouk, akitoa tamko la kutokuridhishwa na hali ya ujenzi wa njia ya kukimbilia Tartan katika uwanja wa michezo Gombani Pemba, baada ya kufanya ziara ya kushtukiza kukagua hali ya ujenzi huo unavyoendelea.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni