.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 5 Machi 2015

RAIS ROBERT MUGABE ASHTAKIWA MAHAKAMA NA MAKADA WA CHAMA CHAKE

Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amefunguliwa mashtaka ya kuwafukuza kimakosa maafisa wawili waandamizi wa chama tawala cha Zanu-PF.

Viongozi hao wawili walifukuzwa kwenye chama hicho mwezi Desemba na Februari kwa madai ya kuunga mkono jitihada za kumg'oa madarakani rais Mugabe.

Maafisa hao Ruagare Gumbo na Didymus Mutasa wamewasilisha nyaraka za kesi zao kwenye Mahakama Kuu ya Zimbabwe wakiitaka itoe amri ya kurejeshewa madaraka yao katika chama cha Zanu-PF.

Bw. Gumbo ameviambia vyombo vya habari kuwa rais Mugabe ni dikteta ambaye anapaswa kuachia madaraka.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni