Maelfu ya Wananchi na wanaCCM wakimsikiliza Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza nao katika mkutano wa hadhara uliofanyikaviwanja vya Kibandamaiti Mjini Zanzibar.

Mjumbe wa Kamati ya Kampeni ya CCM Taifa Khadija Aboud akisoma ratiba ya mkutano wa hadhara wa CCM Kibanda maiti Zanzibar
Maelfu ya Wananchi na wanaCCM wakimsikiliza Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza nao katika mkutano wa hadhara uliofanyikaviwanja vya Kibandamaiti Mjini Zanzibar.
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Wananchi na WanaCCM katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Kibandamaiti Mjini Zanzibar leo.
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Wananchi na WanaCCM katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Kibandamaiti Mjini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Shein akizungumza na wananchi na wanaCCM katika Mkutano wa Hadhara Kibandamaiti Mjini Zanzibar
Maelfu ya WanaCCM na Wapenda amani wakimuunga mkono Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCMZanzibar Dk.Shein akizungumza na wananchi na wanaCCM katika Mkutano wa Hadhara Kibandamaiti Mjini Zanzibar

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni