Kansela
Angela Merkel wa Ujerumani amekosoa vikali ghasia katika makazi ya
waomba hifadhi zilizojeruhi maafisa polisi kadhaa.
Bi.
Merkel ameielezea tabia hiyo ya ghasia iliyofanywa na baadhi ya
wahamiaji katika mji wa mashariki wa Heidenau ni ya kuchukiza na ya
aibu.
Ulinzi
umeimarishwa katika kituo kipya cha wahamiaji waomba hifadhi karibu
na Dresden baada ya siku mbili za maandamano.


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni