.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 24 Agosti 2015

KOCHA LUIS ENRIQUE AMEKATAA KUKANUSHA MANCHESTER UNITED KUMTAKA NEYMAR

Kocha Luis Enrique amekataa kukanusha iwapo Barcelona na Manchester United wamekuwa katika mazungumzo kuhusiana na mchezaji Neymar.

Bosi huyo wa klabu ya Catalan amekataa kugusia habari zilizoibuka mwishoni mwa wiki kuwa kocha Louis van Gaal anataka kumnasa mshambuliaji huyo raia wa Brazil.

Aidha, Ed Woodward alionekana Barcelona wiki iliyopita na kuibua uvumi Manchester United inajaribu kulazimisha uhamisho huo kabla ya kufungwa kwa kipindi cha uhamisho.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni