.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 24 Agosti 2015

MAMIA WAMSINDIKIZA DK. SHEIN KUCHUKUA FOMU YA KUWANIA URAIS WA ZANZIBAR LEO

Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakisalimiana na Viongozi walipofika katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui kupata baraka za Wazee wa Chama kabla ya kuelekea kuelekea katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi ZEC Bwawani Hotel Mjini Unguja kuchukua fomu leo.

Wananchi wa manispaa ya Mji wa zanzibar waliofirika katika kumshindikiza Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar kabla ya kuelekea katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi ZEC Bwawani Hotel Mjini Unguja kuchukua fomu leo.

Wapanda mapikipiki waliojitokeza kumshindikiza Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar katika maeneo ya Michenzanni Mjini Zanzibar kabla ya kuelekea katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi ZEC Bwawani Hotel Mjini Unguja kuchukua fomu leo,[Picha na Ikulu.]

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni