Moto mkubwa umelipuka kwenye kiwanda
cha chuma karibu na uwanja wa ndege wa Haneda kusini mwa Jiji la
Tokyo nchini Japan.
Afisa mmoja wa zimamoto amesema moto
huo uliokuwa na urefu wa mita 2, umetokea katika kiwanda chuma
kinachomilikiwa na kampuni ya Nippon, hakuna taarifa za majeruhi.
Uwanja wa ndege wa Haneda upo
Airport kilomita 25km kutoka kati kati ya Jiji la Tokyo na kiwanda
hicho cha chuma kipo Kawasaki.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni