.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 25 Agosti 2015

MUME WA CELINE DION ATAKA KUFARIKI DUNIA MIKONONI MWA MKEWE

Mume wa mwanamuziki nyota Celine Dion, René Angélil amesema anataka afariki dunia akiwa kwenye mikono ya mkewe.

René mwenye umri wa miaka 73, anasumbuliwa na saratani ya kwenye koo, na anachotamani sasa kabla ya kukataa roho ni kuwa mikononi mwa mkewe Celine Dion.

Celine amenukuliwa akisema kuwa René alimuomba kuwa anataka afariki dunia akiwa mikoni mwake na yeye amekubali ombi hilo la mumewe mpenzi.

Wanandoa hao walioana kwa furaha mwaka 1994, na wanawatoto watatu ambao ni Nelson Angelil, Eddy Angelil, and René-Charles Angelil.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni