.
.
.
.
.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga
|
TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.
mbani
NYUMBANI
HABARI
SIASA
MICHEZO
BURUDANI
TABASAMU
KIMATAIFA
Jumatatu, 24 Agosti 2015
MWAKILISHI MAALUMU WA MAREKANI KATIKA ENEO LA MAZIWA MAKUU, AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Mwakilishi Maalumu wa Marekani katika Eneo la Maziwa Makuu, Thomas Perriello (katikati) akimfafanulia jambo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia) wakati wa mazungumzo yao kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Marekani na Tanzania. Hata hivyo, Mwakilishi huyo aliipongeza Tanzania kwa kupokea na kuhifadhi Wakimbizi nchini. Kushoto ni Naibu Balozi wa Marekani nchini, Bibi Virginia Blaser. Mwakilishi huyo akiambatana na Naibu Balozi, walimtembelea Waziri Chikawe ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia) akimfafanulia jambo Mwakilishi Maalumu wa Marekani katika Eneo la Maziwa Makuu, Thomas Perriello (katikati) wakati wa mazungumzo yao kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Marekani na Tanzania. Hata hivyo, Mwakilishi huyo aliipongeza Tanzania kwa kupokea na kuhifadhi Wakimbizi nchini. Kushoto ni Naibu Balozi wa Marekani nchini, Bibi Virginia Blaser. Mwakilishi huyo akiambatana na Naibu Balozi, walimtembelea Waziri Chikawe ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (katikati) akimkaribisha Mwakilishi Maalumu wa Marekani katika Eneo la Maziwa Makuu, Thomas Perriello (wapili kushoto), Naibu Balozi wa Marekani nchini, Bibi Virginia Blaser (kushoto), pamoja na wasaidizi wa viongozi hao wanaoiwakilisha Marekani (kulia), kabla ya kuanza mazungumzo yao kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Marekani na Tanzania. Hata hivyo, Mwakilishi huyo aliipongeza Tanzania kwa kupokea na kuhifadhi Wakimbizi nchini. Mwakilishi huyo akiambatana na Naibu Balozi, walimtembelea Waziri Chikawe ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Picha zote na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni ( Atom )
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni