Petr
Cech ameonyesha kuwa bado ni kiwango licha ya kutemwa na Chelsea,
baada ya jana kupangua michomo kutoka kwa Christian Benteke na
Philippe Coutinho katika mchezo wao wa Ligi Kuu ya Uingereza.
Katika
mchezo huo ulioishia kwa sare tasa ya Arsenal 0-0 Liverpool, Aaron
Ramsey alipachika bao wavuni lakini mwamuzi alilikataa katika uamuzi
wa utata kwa madai kuwa alikuwa ameotea.
Petr
Cech akichupa kupangua mpira uliopigwa na Benteke
Kipa Mignolet akipangua kwa ngumi mpira kumdhibiti Giroud



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni