.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 25 Agosti 2015

SIERRA LEONE YAMRUHUSU MGONJWA WA MWISHO WA EBOLA KUTOKA HOSPITALI

Shirika la Afya Dunia (WHO) limesema nchi ya Sierra Leone imemruhusu kutoka hospitali mgonjwa wake wa mwisho wa Ebola.

Mgonjwa huyo Adama Sankoh ameruhusiwa kutoka katika kituo cha tiba cha kaskazini mwa wilaya ya Bombali jana asubuhi.

Nchi hiyo haijapata maambukizi mapya kwa zaidi ya wiki mbili.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni