Rais Uhuru Kenyatta amejikuta
akicheka mno na huenda akawa amerejea Ikulu mbavu zake zikiwa
zimechoka mno kwa kucheka baada ya kupata muda mzuri wakati akiwa
katika Chuo Kikuu cha Zetech huko Ruiru.
Mbunge wa jimbo la Maara, Kareke
Mbiuki alimchekesha mno rais Kenyatta pale alipoeleza kuwa mama yake
alikuwa akiuza unga na sukari ambayo ilikuwa ikiingizwa kutokea
Uganda na si Kenya, ikiwa ni kijembe kwa wapinzani wa rais wanaopinga
makubaliano ya kuagiza sukari kutoka Uganda.
Rais Kenyatta akiangua kicheko huku akikinga uso wake kwa mkono



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni