.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 30 Novemba 2015

PAPA FRANCIS ATAKA AMANI JAMUHURI YA AFRIKA YA KATI

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Dunia, Papa Francis amefanya ibada iliyohudhuriwa na watu wengi katika nchi ya Jamuhuri ya Afrika ya Kati katika jiji la Bangui na kutaka pande zote zinazopigana kuweka silaha zao chini na badala yake wasimamie haki, upendo na amani. 

Papa Francis amesema anatarajia uchaguzi wa mwezi ujao utafungua ukurasa mpya wa taifa hilo. Jamuhuri ya Afrika ya Kati imepasuukua kwa machafuko

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni