.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 5 Mei 2016

WABUNGE WA AFRIKA KUSINI WATUPIANA NGUMI KAVUKAVU BUNGENI

Bunge la Afrika Kusini jana lilitibuka kwa muda baada ya kugeuka uwanja wa ngumi kwa wabunge kutupiana makonde, baada ya vyombo vya dola kuamuriwa kuwatoa wabunge wa upinzani walioleta fujo wakati rais Jacob Zuma akihutubia bunge.

Wabunge hao wa chama cha mrengo wa kushoto cha Economic Freedom Fighters (EFF), walionekana kukerwa na amri hiyo na kuanza kupambana na wenzao wakati walipotolewa kwa nguvu bungeni kwa kumzomea rais Zuma.


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni