.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 23 Mei 2017

ANTOINE GRIEZMANN ASEMA ANAWEZA KUTUA MANCHESTER UNITEDNyota wa Atletico Madrid, Antoine Griezmann, amesema kunauwezekano wa yeye kuhamia Manchester United na kuongeza kwa kutoa alama sita chini ya 10 kutua Old Trafford.Mshambuliaji huyo Mfaransa mwenye umri wa miaka 26, ametoa kauli hiyo wakati akiongea kwenye kipindi cha televisheni cha Quotidien nchini Ufaransa.Alipoulizwa kuwa Manchester United itakuwa klabu yake mpya alisema “inawezekana, inawezekana”.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni