.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 18 Mei 2017

BALOZI WA HUNGARY AAHIDI NCHI YAKE KUWEKEZA TANZANIA

HUNG1
Balozi wa Hungary hapa nchini mwenye makazi yake Nairobi Kenya, Laszlo Mathe (kushoto) akionesha nia ya nchi yake kuwa na ushirika wa maendeleo na Tanzania utakao wezesha nchi hizo mbili kunufaika kiuchumi kupitia Sekta mbalimbali za Maendeleo, wakati wa Mkutano kati yake na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), (hayupo pichani), katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango jijini Dar es salaam.
HUNG2
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), (kulia) akizungumza kuhusu fursa zilizopo za uwekezaji katika Nishati, Miundombinu, Kilimo wakati wa Mkutano kati yake na Balozi wa Hungary hapa nchini mwenye makazi yake Nairobi Kenya, Laszlo Mathe (kushoto), katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango, Jijini Dar es salaam.
HUNG3
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), (kushoto) akipongezana na Balozi wa Hungary hapa nchini mwenye makazi yake Nairobi Kenya, Laszlo Mathe (kulia), baada ya kumalizika kwa Mkutano kati yao kuhusu uwekezaji wenye tija kwa pande zote mbili. Mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango Jijini Dar es Salaam.
HUNG4
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), (kushoto) na Balozi wa Hungary hapa nchini mwenye makazi yake Nairobi Kenya, Laszlo Mathe (wa pili kushoto), wakibadilishana mawazo na wajumbe wengine walihudhuria mkutano kati yao kuhusu uwekezaji wenye tija, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango Jijini Dar es alaam.
HUNG5
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), (kulia) na Balozi wa Hungary hapa nchini mwenye makazi yake Nairobi Kenya, Laszlo Mathe (kushoto) wakiagana baada ya kumalizika mkutano kati yao ambapo Balozi huyo ameonesha nia ya nchi yake kuwekeza nchini.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Wizara ya Fedha na Mipango)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni