.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 23 Mei 2017

MWANAMKE ASHINDA MBIO ZA MITA 50 AKIVALIMA MAKOBAZI YA MATAIRI

Mwanamke mwenye miaka 22 anayetokea jamii ya Tarahumara nchini Mexico ameshinda mbio za mita 50 huku akikipimbia akiwa amevaa makobazi.

Mwanamke huyo María Lorena Ramírez aliwashinda wakimbiaji 500 wengine kutoka mataifa 12 katika mbio za wanawake za Ultra Trail Cerro Rojo huko Puebla, kati kati ya Mexico.

Mwanamke huyo alikimbia mbio hizo bila ya mavazi ya kukimbilia huku akiwa amevalia makobazi yaliyotendenezwa na mabaki ya matairi ya gari.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni