.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 25 Mei 2017

NJIWA MSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA AKAMATWA MPAKANI KUWAIT

Maafisa uhamiaji wa Kuwait wanamshikilia njiwa ambaye alikuwa amebeba kifuko cha dawa za kulevya.

Njiwa huyo alikuwa amebeba vidonge 178 vya dawa hizo za kulevya kwenye kifuko cha kitambaa alichofungwa mgongoni.

Njiwa huyo amekamatwa karibu na jengo la uhamiaji huko, Abdali, karibu na mpaka wa Irak.
                      Afisa wa uhamiaji akionyesha dawa za kulevya zilizobebwa na njiwa huyo

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni