.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 20 Mei 2017

RAIS DONALD TRUMP AANZA ZIARA YAKE NCHINI SAUDI ARABIA

Makubaliano ya mamilioni ya dola baina ya Marekani na Saudi Arabia yatatiwa saini hii leo katika ziara ya kwanza ya rais wa Donald Trump nje ya Marekani.

Rais Trump na mkewe Melania wamelakiwa katika Jiji la Riyadh na Mfalme Salman Saudi Arabia leo asubuhi.

Ziara hiyo ya siku nane ya rais Trump itampeleka katika nchi ya Israel, mamlaka ya Palestina, Brusssels, Vatican na Sicily.
Rais Donald Trump na mkewe Melania wakipokea mashada ya maua baada ya kuwasili Jijini Riyadh
Rais Donald Trump akioongozwa na mwenyeji wake Mfalme Salman wa Saudi Arabia huku wakiongea
Binti wa rais Trump, Ivanka akiwa na mumewe Jared Kushner ambao nao wamemo katika ziara hiyo

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni