.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 24 Mei 2017

RAIS DONALD TRUMP AKUTANA NA PAPA FRANCIS JIJINI ROME

Rais Donald Trump amekutana na kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis Jijini Rome nchini Italia.

Rais Trump ambaye ameambatana na mkewe Melenia amefanya mazungumzo na Papa Francis katika Ofisi yake ya Rome.
   Rais Donald Trump akiongea na Papa Francis huku mkewe Melania akiangalia
  Rais Donald Trump akimpa Papa Francis zawadi ya kitabu cha Dk. Martin Luther King Jr
   Melania Trump akimpa mkono msaidizi wa Papa huku mumewe rais Trump akiangalia

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni