.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 22 Mei 2017

REAL MADRID YATWAA UBINGWA WA LA LIGA NA KULAKIWA USIKU NA MASHABIKI WAO


Timu ya Real Madrid imeshinda ubingwa wa La Liga kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2012 baada ya kupata ushindi katika mchezo wa mwisho dhidi ya Malaga.

Katika mchezo huo Cristiano Ronaldo alikuwa wa kwanza kufunga goli akinasa pasi ya Isco na kumzunguka Carlos Kameni na kutumbukiza mpira kimiani.

Karim Benzema aliongeza goli la pili baada ya Kameni kupangua shuti lililopigwa na Sergio na kufanya matokeo kuwa 2-0.
              Mashabiki wa Real Madrid wakiwa mitaani kuwapokea mabingwa wa La Liga
                                                 Sergio Ramos akivalisha bendera sanamu la Cibeles
     Kocha Zinedene Zidane akiwa anarushwa juu na wachezaji wake kwa furaha ya ubingwa
     Washambuliaji nyota wa Real Madrid Gareth Bale na Cristiano Ronaldo wakipozi kwa picha

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni