.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 23 Mei 2017

WATU 22 WAUWAWA KATIKA SHAMBULIZI LA MANCHESTER ARENA


Watu 22 wameuwawa na wengine zaidi ya 119 wamejeruhiwa katika tukio linashukiwa kuwa ni shambulizi la kigaidi katika ukumbi wa Manchester Arena.

Mlipuko huo umetokea usiku wa jana wakati wa tamasha la muziki la mwanamuziki wa pop kutoka Marekani Ariana Grande.

Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May ametoa pole kwa wafiwa na waliojeruhiwa na tukio hilo ambalo polisi wanalichukulia kama shambulizi la kigaidi.
                         Mwanaume aliyejeruhiwa katika shambulizi la Manchester Arena
          Watu waliokuwa kwenye tamasha wakijifunika na mifuko ya foili kujizuia na baridi

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni