.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 24 Mei 2017

WAZIRI MKUU WA UINGEREZA THERESA MAY AONGEZA KIWANGO CHA TAHADHARI

Waziri Mkuu wa Uingereza, Theresa May ametahadharisha uwezekano wa kutokea tena kwa shambulizi la kigaidi.

Bi. May pia ameongeza kiwango cha tahadhari kuwa cha juu zaidi na kuagiza wanajeshi 5,000 kusambazwa katika maeneo muhimu.

Agizo hilo la Waziri May linakuja kufuatia shambulizi la jana katika ukumbi wa Manchester Arena lililouwa watu 22.

Tayari Uingereza imembaini mtu aliyetekeleza shambulizi hilo kuwa ni Muingereza mzaliwa wa Libya aitwaye Salman Abedi.
         Askari wa Uingereza wakiwa katika majukumu yao baada ya kutokea shambulizi la kigaidi

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni