.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 7 Juni 2017

BINGWA MTETEZI NOVAK DJOKOVIC ATOLEWA NJE MICHUANO YA AUSTRALIA OPEN

Bingwa mtetezi Novak Djokovic ametolewa nje katika michuano ya wazi ya Ufaransa, kufuatia kufungwa seti zote na Dominic Thiem.

Djokovic raia wa Serbian anayeshikilia nafasi ya pili kwa ubora alijikuta akifungwa na Thiem, kwa seti 7-6 (7-5) 6-3 6-0 Jijini Paris.

Ushindi huo wa Muastralia Thiem anayeshikilia nafasi ya namba sita kwa ubora ni wa kwanza dhidi ya Djokovic na sasa atavaana na Rafael Nadal katika hatua ya nne bora.

Nadal ametinga nusu fainali baada ya Mhispania mwenzake Pablo Carreno Busta kujitoa katika mchezo wao kutokana na maumivu ya tumbo wakati matokeo yakiwa 6-2 2-0.
                 Dominic Thiem akijiandaa kuupiga mpira uliopigwa na Novak Djokovic 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni