.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 9 Juni 2017

BUNGE LA JAPAN LARIDHIA MFALME KUJIVUA MADARAKA

Bunge la Japan limepitisha muswada unaotoa ruhusa kwa Mflame Akihito kujivua madaraka yake na kuwa mfalme wa kwanza kufanya hivyo katika kipindi cha miaka 200.

Mfalme huyo wa Japan mwenye miaka 83 alisema mwaka jana umri wake na afya yake unamfanya kushindwa kutimiza majukumu yake vizuri.

Serika la Japan sasa itaanza mchakato wa mfalme huyo kujivua madaraka na kuyakabidhi kwa Prince Naruhito mnamo mwaka 2018.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni