.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 10 Juni 2017

HATMA YA ALVARO MORATA KUJULIKANA BAADA YA SIKU 14

Mchezaji anayewaniwa na Manchester United, Alvaro Morata, anatarajia kujua mustakabali wake baada ya wiki mbili.

Wakala wa Morata amefanya mazungumzo na maafisa wa Real Madrid siku ya Ijumaa na kuweka wazi kuwa anataka mshambuliaji huyo kuchezeshwa michezo mingi.

Morata ,24, ambaye alifunga goli jumatano wakati Hispania ikiibuka na sare ya magoli 2-2 dhidi Colombia, amekuwa akikosa namba mara kwa mara katika msimu ulioisha.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni