.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 7 Juni 2017

MAISHA YA WANAUME WENYE VIPARA YAWA HATARINI NCHINI MSUMBIJI

Wanaume wenye vipara nchini Msumbiji wanakabiliwa na mashambulizi ya kutoa kafara, polisi nchini humo wametahadharisha, kufuatia vifo vya wanaume watatu vipara vilivyotokea hivi karibuni.

Watuhumiwa wawili wamekamatwa katika kijiji cha kati cha nchi hiyo cha Milange, ambapo mauaji ya wanaume wenye vipara yametokea.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Zambezia Afonso Diasa amesema wauaji wanaamini kuwa vichwa vya wanaume wenye vipara vinadhahabu.


Watu wenye ulemavu wa ngozi nao wamekuwa wakiuwawa katika Mkoa huo kwa imani za kishirikiana.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni