.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 9 Juni 2017

MAKAMU WA RAIS, MHE. SAMIA SULUHU AZINDUA MASHINDANO YA COPA UMISSETA KITAIFA JIJINI MWANZA

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akiwa ameshika mpira ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa mashindano ya Copa UMISSETA yanayoendelea mkoani Mwanza.Uzinduzi huo ulifanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Wanafunzi wa mkoa wa Rukwa wakipita na kutoa heshima kwa Makamu wa Rais.
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Seleman JafFo akizungumza kwenye uzinduzi huo uliofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Afisa Msaidizi wa Masoko wa Coca-Cola nchini, Pamela Lugenge, akiongea wakati wa uzinduzi wa mashindano haya chini ya udhamini wa kampuni hiyo.
Afisa Msaidizi wa Masoko wa Coca-Cola, Pamela Lugenge akimkabidhi Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan ,zawadi ya Mpira kwenye uzinduzi wa Copa UMISSETA.
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akikagua baadhi ya timu kwenye uzinduzi wa Copa UMISETA.

Mkurugenzi wa Nyanza Bottling Co. Ltd ya Mwanza, Christopher Gachuma akisalimiana na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan.
Wanafunzi wa jiji la Mbeya wakipita na kutoa heshima kwa Makamu wa Rais.
Wanafunzi wa mkoa wa Pwani wakipita na kutoa heshima kwa Makamu wa Rais. 
Wanafunzi wa mkoa wa Ruvuma wakipita na kutoa heshima kwa Makamu wa Rais.


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni