.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 7 Juni 2017

MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU AJIUWA KWA KUJINYONGA KWA KUKOSA ADA

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu amejiuwa huko Shauri Moyo, Jijini Nairobi baada ya kupita wiki mbili tangu arudishwe nyumbani kwa kukosa ada.

Mwanafunzi huyo Fredrick Kinyanjui, 22, ambaye alikuwa mwaka wa pili katika chuo cha Multimedia, alikutwa akiwa kajinyonga kwenye paa la nyumba yao jana jioni.

Mkuu wa polisi wa kituo cha Buruburu DCI Jeremiah Ikiao wachunguzi wamebaini mwanafunzi huyo alirudishwa nyumbani siku 14 zilizopita kwa kukosa ada.

DCI Ikiao amesema mama wa Kinyanjui alikuwa ameenda kazini wakati mwanafunzi huyo alipochukua uamuzi wa kujinyonga.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni